University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Mzee Punch alikuwa kiboko. Masikini wasichana walikuwa wanaogopa kuja kunywa chai ya saa kumi pale Havard.

Lakini ule ulikuwa unyanyashaji wa kijinsia, au vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
mzee punch na kundi hakuwa kiboko tu kwa udsm tu bali hata kwa serikali ya wakati ulee...walishampunch mzee mkubwa ubaoni ikaleta shida sana mpaka wazee wa farasi mweupe wakafika kuchunguza hao punch ni kina nani..
 
Wazee mlioko CoNAS nauliza Professor Magingo yupo? Alikua mkuu wa College kipindi flani, anatoka Department ya Microbiology and Biotechnology
 
Hivi kati ya udsm b.comm in accounting , na ARU BAF , wapi pako safi kwa accounting Studies ?
 
Yaah actually am feelling proud sana kwa mtu aliyeweka hii thread [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Uchangudoa na utoaji mimba kiholela umeisha hapo Sodoma?
 
Sasa ubora wa chuo unaupima kwa urahisi wa course?? Na kutokupata sap?? Kwa hiyo uwepo wa sup ndio kipimo cha ubora?
[emoji23]ardhi wazushi tu kuna chalii alidisco chuo pale bcom acc akaenda ardhi hiyo baf ils hata sup hakupata

Sent using Jamii Forums mobile app

komesha korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…