University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Kuna masters gani za masuala ya TEHAMA zinazotolewa hapo UDSM?
 
UDSM mwisho division I ya point 8
 
Chuo kinachoshika nafasi ya kwanza kwa ubora Tanzania.
 
[emoji3516]
WANANGU WA "TATAKI" KIDOLE CHA MWISHO JUU!!!!!
[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Habari wadau, naomba kuuliza nataka nione selection ya majina ya kujoin chuo Udsm nimejitahid kutafuta sijayapata, msaada mwenye PDF...shukran
 
Habari wadau, naomba kuuliza nataka nione selection ya majina ya kujoin chuo Udsm nimejitahid kutafuta sijayapata, msaada mwenye PDF...shukran
Ingia kwenye website ya udsm wameshatangaza mbona hadi ya postgraduate tayari
 
Guys kuna mtu kachaguliwa udsm dirisha la pili matokeo yalivyotoka...ali request confirmation code tangu jana mpaka leo bado hajatumiwa
 
Samahani jamani kama una diploma ya business unataka kuwa na GPA ya ngapi ili kujiunga na institute of business kwa bachelor apo UDSM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…