University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

hello... sorry for medical student naomb guideline ya disease management and treatment ngaz ya diploma kam kun mpya iliyotoka
 
Nimshukuru Muumba kwanza

Alafu ni wasalimu wote humu niwaalike mnisaidie kuhusu class representative wa chuo kama udsm i mean qualifications zipi na ni njia ipi ambayo mtu anapaswa kutumia ili awe class representative na je huyo class representative ana majukumu gani mengine tofauti na kusubmit kazi za wanadarasa.

Je changamoto zake ni zipi

Je kuna hasara zipi na faida zipi za kuwa CR maana i Wish sana niwe CR kwa kozi yangu maana nadhanikupitia hiyo nafasi ntaweza kuwasaidia wengi ili Mungu anihurumie na anisamehe zambi zangu plz naomba hata umtag mtu ili aje anisaidie
 
Upo College/School ipi kwanza?
 
Uwe na SmartPhone, Sauti kubwa yaan ukisimama pale Yombo4&5 unaongea wanakusikia wote mwisho na muhimu uwe na kiherehere Mkuu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Jaman kuna rafiki yangu kaomba transfer udsm kapewa form ya kujaza kajaza je apo uhakika wa kuchaguliwa upo au maana Kasubir n wiki sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…