University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Wakuu UDSM Kuna kozi ya procurement and supply chain management? Kwa ngazi ya shahada?
 
Mmmhh
 
Wadau naomba kuuliza link ya kuangalia matokeo ya UDSM maana naona ARIS haifunguki Kila nikijaribu, au wamebadilisha mfumo wa kuangalia. Msaada tafadhali
 
Hivi hiyo na economics and statistics ipi nzuri??

Bora usome hata hiyo Baest ipo vizuri ila bast utasafa sana mtaani maana ajira zake nyingi ni Serikalini na Kwenye organizations ila sasa kutoboa ni mtiti kama huna connections kwenye hizi organization.

Economics ni nzuri both private and govt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…