UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM yaunganishwa na Muhimbili na Ardhi .

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM yaunganishwa na Muhimbili na Ardhi .

Janja PORI

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
825
Reaction score
246
hi JF thinkers
nimeskia tetesi toka moja ya maprofesa kwamba wanampango wa kuunganisha vyuo vitatu kama ilivokuwa awali. wakati hayo yakisemwa nkiwa moja ya semina leo nimeskia pia mara COET inataka kujitenga na pia mkwawa.
hivi wadau mnachukuliaje hili swala. enzi sisi tunasoma pale UDSM chuo kilikuwa kikubwa hata Africa kilikuwa kwenye vyuo bora, ila siasa zinawamaliza watanzania kila mtu anataka madara
my take.
wadau me naona maana ya University ni universal yani kila kitu chuo kuitwa chuo kikuu lazima kiwe na degree zote, kama ilivokuwa UDSM enzi zile, tuchukulie mfano wa Calfornia University au Makerere au Nairobi wenzetu wana vyuo vikubwa ila sisi tunazidi kugawa vyuo tuuuuu
its sucks guys, yani elimu ya TZ bwana, juzi nkiwa kwenye project moja ya elimu nimeskia wanataka kujenga tena chuo cha medicine pale
this is insane
 
Baadhi ya faida ya college kujitegemea na kuwa vyuo vikuu ni pamoja na kuongeza wigo wa udahili kwa wanafunzi wengi zaidi na pia husaidia kupunguza ukiritimba wa kwamba kila maamuzi ya mwisho kiutawala yategemee busara na uamuzi wa mkuu wa chuo mmoja tu.
 
Coet ikijitenga it will be the end of udsm repitation....
 
Back
Top Bottom