University of Dodoma (UDOM) special Thread

Wazee wa Humanities,UJASI IPO kweli?
Ilikuwa mkombozi sana maana nilikuwa napiga boonge ya ugali
 
CIVE classroom... Hacked.....🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠🤠
 
Hivi hiki chuo wapo serious? Hakuna namba ya simu wala email inayopatikana.
 
Namba zao zote za simu zilizopo kwa website yao hakuna iliyo active hata moja. Inashangaza sana.
Umewatafuta mda gani mkuu.. si unaelewa taasisi mda wa kazi ni upi lakini..?
 
Nataka kupost pone ila nishakula boom la jwanza...vp nikirudi mwakani ntakuka boom la semister ya kwanza au ndo bas ntasubir mpk semister ya pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…