A
Anonymous
Guest
Hii inatokana kwamba mimi na wenzangu tumekuwa tukipewa ushirikiano mdogo sana hapa chuoni, kwamba mpaka sasa niko mwaka wa tatu na ninatalajia kuhitimu masomo mwaka huu wa masomo 2023/2024.
Tumekuwa na shida ya results zetu nikimaanisha hawajaweka baadhi ya matokeo yetu ambapo ni matokeo ya mwaka wa kwanza na mengine ni ya mwaka wa pili.
Tumejaribu kuandika barua sana kwa uongozi lakini tatizo halija tatuliwa nikimaanisha wenda tusi hitimu masomo mwaka huu.
Hivyo basi mamlaka husika tungependa kuwasilisha kwenu jambo hili, ikiwa pamoja na kuja hapa chuoni kufanya ukaguzi maana inajenga taswila mbaya hasa kwa hizi taasisi za elimu