Unix, Linux , IT & Network security...

Unix, Linux , IT & Network security...

Einstein

Senior Member
Joined
Dec 5, 2009
Posts
121
Reaction score
26
Habari wana jamvi??

Natafuta vitabu vizuri vya Unix, Linux na Network security and IT security..

Mtu yeyote anaefahamu naomba anihabarishe!

Shukrani
 
Okie... Ahsante sana.. Naomba pia kuwafahamu authors
 
Habari wana jamvi??

Natafuta vitabu vizuri vya Unix, Linux na Network security and IT security..

Mtu yeyote anaefahamu naomba anihabarishe!

Shukrani

Nadhani kwa Linux na Unix ungekuwa specific ni vitabu vya aina gani watafuta kama ni kwa bigginner, laerner Advvanced user au Administration. Sidhani kama kuna kitabu kibaya kitakuwa kibaya kama kitalenga mada ambayo hukutarajia. So try to be specifi ni subjetc area gani unahitaji?

Kwa Network Security in ni Vizuri utafute vitabu vya CISCO vipo electonic books unaweza kupata online fo Free. Lakini kuna vitabu kama Biometrics.and.Network.Security kama Prentice Hall. Cryptography and Network Security

Kwa IT security in general jaribu kutafuta IT security Professionals
 
Hapa JF zilikuwepo,m-PM Invisible
 
Back
Top Bottom