Nadhani kwa Linux na Unix ungekuwa specific ni vitabu vya aina gani watafuta kama ni kwa bigginner, laernerAdvvanced user au Administration. Sidhani kama kuna kitabu kibaya kitakuwa kibaya kama kitalenga mada ambayo hukutarajia. So try to be specifi ni subjetc area gani unahitaji?
Kwa Network Security in ni Vizuri utafute vitabu vya CISCO vipo electonic books unaweza kupata online fo Free. Lakini kuna vitabu kama Biometrics.and.Network.Security kama Prentice Hall. Cryptography and Network Security
Kwa IT security in general jaribu kutafuta IT security Professionals