Einstein Senior Member Joined Dec 5, 2009 Posts 121 Reaction score 26 May 5, 2010 #1 Habari wana jamvi?? Natafuta vitabu vizuri vya Unix, Linux na Network security and IT security.. Mtu yeyote anaefahamu naomba anihabarishe! Shukrani
Habari wana jamvi?? Natafuta vitabu vizuri vya Unix, Linux na Network security and IT security.. Mtu yeyote anaefahamu naomba anihabarishe! Shukrani
ELNIN0 JF-Expert Member Joined Nov 26, 2009 Posts 4,161 Reaction score 1,476 May 5, 2010 #2 Einstein said: Habari wana jamvi?? Natafuta vitabu vizuri vya Unix, Linux na Network security and IT security.. Mtu yeyote anaefahamu naomba anihabarishe! Shukrani Click to expand... Wakati unasubiri kupata hivyo vitabu - jaribu sana kujifunza kupitia Online. Kuna notice nzuri sana za Linux, Unix na network secirity kwenye internet zaidi hata ya hivyo vitabu unavyoviomba.
Einstein said: Habari wana jamvi?? Natafuta vitabu vizuri vya Unix, Linux na Network security and IT security.. Mtu yeyote anaefahamu naomba anihabarishe! Shukrani Click to expand... Wakati unasubiri kupata hivyo vitabu - jaribu sana kujifunza kupitia Online. Kuna notice nzuri sana za Linux, Unix na network secirity kwenye internet zaidi hata ya hivyo vitabu unavyoviomba.
N-handsome JF-Expert Member Joined Jan 23, 2008 Posts 2,453 Reaction score 560 May 5, 2010 #3 Go to any search engine and search tutorials za hizo subjects zako