Hahaha Mfuasi wa Odings huyoThank you for noticing...... geza I know you want to see that happen... It won't assassination of Raila will turn Kenya into Libya....... Guns in the north are as much as 50kshs only.... EAC will never be the same!!!!!
Wacha wajaribu kumuuwa washangae..... Kenya will break into two like Germany.....
Raila is a statesman, not a mad man, his contributions to the freedom we enjoy as Kenyans is immeasurable. For anyone waiting for Kenya to burn, please don't hold your breath, we have our differences but that's not enough to destroy our country, we know better.
That CAN'T happen, kawaida kuna watu watapiga kelele, walete uchochezi lakini hakuna vita ya kimbari itatokea Kenya, we have experienced it and I beleive we wont go down that slippery slope.
oopps!! utter gutter mentality!! wtf is this! are we in the 21st century?? wake me up when it is..Raila can be killed na hakuna kitu kitafanyika. I'm not saying that he should be killed. There are only two tribes whose war that can keep Kenya on standstill. Kikuyu na Kalenjin. Wajaluo hupigana vita vya Soda. watachoma maduka yao yote kesho walale njaa. Vita vyao huwa reckless - vya kujiua, drama mingi. Tena waluo na sisi waluhya, Kama tu wakikuyu, tumetapakaa kila mahali. We are just sitting Ducks. Tukifanya ujinga western, ndugu zetu kule kiambu na eldoret wataona moto.
Kalenjins, because of their rural lifestyle, and the fact that they control the Mombasa-Uganda Road, can make life difficult for the rest of us.
Have you asked yourseves why anti-IEBC demos are only dependent on Luo dominated zones? bungoma and Machakos are not rioting; why?
Mimi huwa najiuliza kwanini tuliacha mauaji ya kimbari kutokea. Tanzania tulikuwa na uwezo wa ku intervene kabisa na tulikuwa tunajua mchezo wote.
Hawa wakenya,ndio kwanza tutakula bisibisi hawa watu wajiumize ndio wataelewa kuheshimiana na kuelewana. Wakenya wako kama wanawake hv.I have never met a nice kenyan. Hawa watu Mungu wangu sijui ni wa roho gani. So i say let it burn baby,let it burn.
Naamini hoja iliyoko ni kuhusu demokrasia na utawala bora na si mtu.Tanzania kuna nani wa kufananisha na Raila Odinga?
Mkuu wa kaya maana yy na Raila ni Chanda na pete
Kisiasa au kirafiki?
Sipingani na wewe ila navoelewa mimi unapozungumzia demokrasia lazima kuwe na yafuatayo .Personal freedomsHuwezi kuzungumzia demokrasia bila ya kuhusisha wanasiasa. Na matukio yanayoendelea Kenya hayatokei tu kwa majira yake, bali kuna wahusika wanaofanya siasa ya Kenya ionekane kama ilivyo. Raila Odinga ni injini ya mageuzi ya kisiasa nchini Kenya. Hafanyi siasa za matukio, anafanya siasa zenye tija na uhalisia kwa Kenya ijayo.
Na kuna tofauti kubwa kati ya upinzani wa Kenya na Tanzania. Huku kwetu wapinzani wanatumia muda mwingi kuongelea mambo ya CCM, na wanachama wa CCM wakikanusha yanabakia malumbano yasiyokuwa madhara kwa chama tawala. Mfano mzuri pitia jukwaa la siasa utajionea mwenyewe. Ndio maana nikauliza kwa Tanzania ni nani kama Raila Odinga?
Haya braza nitapeleka ila acha mbwembwe jenga hoja vipi ukaleta mambo ya tanzania humu na LISISIEMU!Kama umeshakubali Tanzania hakuna mpinzani kama Raila Odinga bado unajadili nini? Mambo yanayohusu Tanzania peleke jukwaa la siasa.
Aha!ha!.Pole.Hujawahi kulisikia LISISIEMU!.Chama cha mapinduzi.Tulia wewe, mbona mimi sikuelewi na unaandika hata mambo ambayo sijawahi hata kuyasikia? LISISIEMU ndio kitu gani hicho?
Your statement is rather unthotful, MwendaOmo. A murder of any of the major Kenyan political figures would dip this country into a crisis it has never experienced since its independence. A civil war would definitely follow as a consequence of the assassination of Raila Odinga.Raila can be killed na hakuna kitu kitafanyika. I'm not saying that he should be killed. There are only two tribes whose war that can keep Kenya on standstill. Kikuyu na Kalenjin. Wajaluo hupigana vita vya Soda. watachoma maduka yao yote kesho walale njaa. Vita vyao huwa reckless - vya kujiua, drama mingi. Tena waluo na sisi waluhya, Kama tu wakikuyu, tumetapakaa kila mahali. We are just sitting Ducks. Tukifanya ujinga western, ndugu zetu kule kiambu na eldoret wataona moto.
Kalenjins, because of their rural lifestyle, and the fact that they control the Mombasa-Uganda Road, can make life difficult for the rest of us.
Have you asked yourseves why anti-IEBC demos are only dependent on Luo dominated zones? bungoma and Machakos are not rioting; why?
Hahaha pole sanaAcheni nyonyonyo za kwenu watz,tetesi ni wewe MOTOCHINI