Shayu
Platinum Member
- May 24, 2011
- 608
- 1,655
Kuna uhitaji mkubwa wa kubadilisha serikali kwa watu wetu lakini kabla ya kufanya hili ni lazima tufikirie hili. Binafsi naamini mapinduzi ya kweli sio kuondoa serikali madarakani na kuingiza nyingine khalafu fikra, mazoea na taratibu kuendelea kuwa zile zile hayo sio mabadiliko.
Kama tutaibadilisha serikali pasipo kubadilisha mindset za watu wetu kuhusu utaifa, uzalendo na uwajibikaji tutaendelea kufanya makosa yale yale na taifa letu halitoweza kupata maendeleo yake. Kwahiyo mabadiliko ni lazima yawe kwenye akili za watu. Ni KATIKA kujitambua huku kwa watu kuelekea katika taifa lao ndipo maendeleo hupatikana.
Mabadiliko tunayohitaji siyo kubadilisha regime tu, bali ni mabadiliko ya mwelekeo wa fikra zetu. Kuna uhitaji huu mkubwa wa hili jambo kufanyika kwa faida ya taifa. Ni kwa kuwa wamoja kwetu pekee tutaweza kulinyanyua hili taifa. Ni lazima tuwe na akili zilizoelekezwa kwenye utaifa na sio ubinafsi. Kwahiyo kama tukielekeza akili zetu katika mkondo wa utaifa tuna nafasi kubwa ya kuendelea kuliko kuelekeza mawazo yetu katika mkondo wa ubinafsi.
Kuna mambo mengi tunaweza kufanya kama taifa lakini kufanikiwa kwetu kutategemea sana umoja wetu na kujitambua kwetu katika utaifa ya kwamba sisi ni taifa moja kupanda kwetu au kuanguka kwetu ni lazima kuwe kumoja.
Taifa hili ni kubwa zaidi ya unavyofikiri kitu kinachozuia ukubwa wetu ni kutokuwa wamoja kwetu na kutotimiza majukumu yetu kama taifa.
Ni lazima tuache ubinafsi tujitolee kwa taifa hili..Tutajenga shule zetu vizuri na hospitali zetu only if we love each other with love comes responsibility, without love there is no responsibility.
Bendera ya taifa letu ni nzuri na yenye thamani kuliko bendera ya taifa lolote.
Naendelea kuamini kuna matumaini katika taifa hili..kuna mwangaza kwenye future yetu. Kitu pekee tunachohitaji ni kubadilika. Mabadiliko ya kiakili na kiroho. Ni lazima tutende yaliyo sahihi na kuendeshwa na fikra sahihi. ''If we are nation then we are one people'' Ni lazima tuwe na mwelekeo huu wa pamoja. Ni lazima tuache maisha tuliyozoea kuishi ya ubinafsi na kuanza kuangaliana kama kaka na dada tunaojenga taifa moja kwaajili yetu na vizazi vyetu vingi vijavyo.
We must also build the culture of responsibility, hili jambo ni muhimu kwa ukuaji wa taifa letu. Tunaweza kujenga taifa hili likawa zuri na la kuvutia zaidi ya mataifa mengi duniani, hii nguvu iko mikononi mwetu, tuna uwezo huo. We have to decide now to move forward or to stay where we are! We have this power! Kitu tunachohitaji ni kuwa wamoja, kitu tunachohitaji ni kupendana. How we can build this nation if we hate each other?..If we don't respect each other? If we don't honor each other? with honor comes delight. This nation is already super power among the nations of the earth, it our time to decide.
Ni wakati sasa wa kudai kile kitu ambacho mungu tayari ametupatia, utukufu wetu na heshima miongoni mwa mataifa. Nyota ya taifa hili ni lazima inyanyuliwe juu ya mataifa yote, nuru yake iangaze kwa mataifa.
Tumeisha pewa nguvu na mamlaka dhidi ya mataifa ni lazima tuifanyie kazi ahadi hii, ni lazima tufanye kazi kizazi hadi kizazi katika umoja na mapenzi, ili tukamilishe ahadi hii.
Nawaambieni tena bila mashaka yeyote moyoni: We have this Power to become The Greatest nation on the Earth!
Now faith is being sure of what we hope for and certain of what we do not see. This is what the ancients were commended for. By faith we understand that the universe was formed at God's command, so that what is seen was not made out of what was visible.