Unajua mzee wangu umeandika Historia ya kizazi mpaka kizazi hivyo kuna wajibu wa kutunza wajibu wa mambo haya na pia, wakati mwingine huwa napata shida kama mambo haya yanaweza kufika kule kunakotakiwa yaani mzee mzima wa nyumba yaani mzee wa kaya, Ila huwa napatwa na wasi wasi kuwa itakuaje kama kweli Watanzania wakisoma makala zako, hata wakati mwingine kugawa bure kwenye Vyuo vyetu katika Tanzania. Asante kwa mchango wako ulio bora labda nitafanya copy kwa ajili ya mzee wa kaya