Kwa wale walionunua simu za Tigo, Airtel, Vodacom au kutoka mtandao mwingine wowote wanaotoa offer ya simu aina ya Huawei Ascend Y300 Y301 Y330 Y511 na Y530 nazifungua ziweze kutumia line zote.
SERVICE FEATURES:
Code calculation kwa njia ya IMEI
Ni njia salama aslimia 100 ya ku-unlock simu yako
Unlock hii haitoathiri warranty yako na kampuni husika
Huduma ni 24/6 (Jumatatu - Jumamosi)
Huduma hii ni kwa ulimwengu mzima
Baada ya kuwa unlocked, simu yako itatumia mtandao wa kampuni yoyote ile uipendayo
SUPPORTED OPERATORS/NETWORKS:
Huduma hii iko valid kwa mitandao yote Tanzania na nje ya Tanzania
SUPPORTED MODELS & EXCLUSIONS:
Supported Models
Modeli zote za simu tunafungua kasoro zilizoorodheshwa hapo chini
Not Supported Models/Network - DO NOT ORDER - NO REFUND
Simu zote kutoka Tracefone/Net10/Straight talk USA
Simu zote kutoka Sprint USA
G510, U8951, Orange Daytona - 86849xxxxxxx
Siku zote andika *# 06# katika simu yako ili kupata IMEI (nambari 15), pia unaweza kuangalia IMEI namba nyuma ya simu baada ya kuondoa betri na uangalie kwa umakini kabla ya kutuma kwangu.