Kama unapenda kujiendeleza tafadhari chunguza MIT Open Course Ware wana offer course mbali mbali. Free lecture notes, exams and videos from MIT. Wana course mzuri sana kutoka semester zilizopita katika fani mbali mbali. Hivyo kazi kwako, hakuna kulala.