Juma tatuUnaweza kunisaidia ku-unlock hii ya Tigo?
ttcl bado wanatunyima riziki mafundi device zinakua ngumu kuzifyatuaHii ya tigo inafunguka. Ila hii ya ttcl sijafanya uchunguzi
hivi ni kwann? nilimpa mtu anae unlock kila moderm ila ya TTCL kachemkaya TTCL huwezi ku-unlock
ukifungua unaharibu kabisa, ttcl wametumia high level security lock,hivi ni kwann? nilimpa mtu anae unlock kila moderm ila ya TTCL kachemka
ni kama hiyo hiyo hapo pichani,nilimwachia wiki nzima ila wapi katokota.
nasubiri mtu aingie 18 zangu nimuuzieukifungua unaharibu kabisa, ttcl wametumia high level security lock,
Nina ya Tigo E5573Bs-322 je unaweza kuifungua?Hii ya tigo inafunguka. Ila hii ya ttcl sijafanya uchunguzi
Yes ninaweza nicheck 0759789008Nina ya Tigo E5573Bs-322 je unaweza kuifungua?
Kuna kitu nimekigundua kwenye hii ya TTCLhivi ni kwann? nilimpa mtu anae unlock kila moderm ila ya TTCL kachemka
ni kama hiyo hiyo hapo pichani,nilimwachia wiki nzima ila wapi katokota.
kitu gani hicho?Kuna kitu nimekigundua kwenye hii ya TTCL
Unaweza kufanya firmware upgradekitu gani hicho?
umeshafanya ikakubali?Unaweza kufanya firmware upgrade