Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Tatizo firmware pa kuipata ndiyo nimeshindwa hiyo modem ni Shanghai notion m022, nikiipata firmware kila kitu kitakuwa sawa. Ina online dashboard unafanya update hukoumeshafanya ikakubali?
Never say never 😉ya TTCL huwezi ku-unlock
Point ni kwamba Haiwezekani,na ikitokea ukapata hiyo fimwareTatizo firmware pa kuipata ndiyo nimeshindwa hiyo modem ni Shanghai notion m022, nikiipata firmware kila kitu kitakuwa sawa. Ina online dashboard unafanya update huko
Sasa firmware halisi ya Modem ambayo mi unlocked to all sim itaharibu vipi? Nachojua ukitumia wrong firmwarr ndiyo unaiuaPoint ni kwamba Haiwezekani,na ikitokea ukapata hiyo fimware
wakati unajaribu ku update kuwa tayari kwa kuiua hio moderm
Ukipata jaribu uje unipe mrejesho bossSasa firmware halisi ya Modem ambayo mi unlocked to all sim itaharibu vipi? Nachojua ukitumia wrong firmwarr ndiyo unaiua
Sehemu ya upgrade ni hiyo hapo, tatizo software tuUkipata jaribu uje unipe mrejesho boss