jaribu kutumia hii software, mimi nimefanakiwa.TZE k3565 caguwa TZE mwiho kabisa, code hasanmhkuna modem hapa toka spain
zte hspa modem model na. K3765-Z inahitaji kuwa unlocked.
any ideas folks!!
pasword: hasanmhakhsante, imeshuka ila inakataa p/word
Hebu tueleze namna ya kuitumia nimesha iweka kwenye computer yangu.jaribu kutumia hii software, mimi nimefanakiwa.TZE k3565 caguwa TZE mwiho kabisa, code hasanmh
4shared.com - free file sharing and storage - download
baada ku run dc-unlocker, na kuwa unlocked kwa vile nilipo hakuna huduma ya 3g na create dial connection, inaconnect vizuritu! au google this ZTE_MF622 HSDPA/EDGE USB MODEM and dowload it and istall ili uweze kupata huduma ya 3g kama inapatikana eneo lako. zipo kibao n free ina detect any sim card. mi natumia zte k3565z kwa line ya zantel,zain.Hebu tueleze namna ya kuitumia nimesha iweka kwenye computer yangu.