Unofficial Election results: NASA tallying center

Huyo muache keshatoweka hana lolote, haya hapa matokeo kufikia sasa.
  • UHURU KENYATTA
    JP
    7,197,184 votes

  • RAILA ODINGA
    NASA
    5,838,824 votes
Mpaka hapo inaonyesha kuwa Asilimia 70% ya watu waliojiandikisha kupiga kura imekwisha kufikiwa, na Uhuru anaongoza kwa tofauti ya zaidi ya kura 1.3milioni.

Kifupi mchezo unaelekea kwisha, na Uhuru ndio mshindi.

Mimi bado nasubiri kuona Twitter ya Magufuli ikimpongeza Uhuru...
 
KUMBUKENI COMMISSIONER WA ICT ALIUAWA NA MKONO WAKE KUKATWA..HUO MKONO NDO UNACHEZA NA DATA KWENYE SYSTEM KUBADILI MATOKEO NA NDIYO MAANA IEBEC HAIJATOA FORM 3A KITUONI KABLA YA DATA TRANSIMMISSION

Latest Update: 35,624 out of 40,883 polling stations:
Uhuru Kenyatta 7,263,821 votes (54.75%);
Raila Odinga 5,891,934 votes (44.41%).
 
Kwani wana NASA mmeshikwa na mshituko wa moyo mkazimia?hamuonekani popote

Wacha waende Uganda huko ndio nchi ya denial (The Nile) kama hawakubali maoni ya wananchi.Na pia wanunue madawa ya kuweka chini cholesterol ndio moyo usishtuke.
 
Oooh my God. Kumbe naongea na mtu wa Kajiado. Get lost. Ungekuwa wa Mombasa , Kisumu au Nairobi ningekuelewa. Sio huko ushago.
Makada imewauma eeh? Kwetu Kajiado si huko kwenu kolomije wewe! Tembea uone Cosmopolitan County of Kajiado! Dakika ishirini tu kwenye gari kutoka Nairobi! Uhuru tibim!
 
Makada imewauma eeh? Kwetu Kajiado si huko kwenu kolomije wewe! Tembea uone Cosmopolitan County of Kajiado! Dakika ishirini tu kwenye gari kutoka Nairobi! Uhuru tibim!
[emoji3][emoji3] mzee naona matakwa yako yametimia.... hongera
 
[emoji3][emoji3] mzee naona matakwa yako yametimia.... hongera
Asanta mkuu! Vitendawili tumevieka pause! Kama nilivosema jamaa walikuwa na kelele tupu tu! Dawa yao ilikuwa ni kura zetu. Jubilee hoyee!
 
Asanta mkuu! Vitendawili tumevieka pause! Kama nilivosema jamaa walikuwa n kelele tupu tu! Dawa yao ilikuwa ni kura zetu. Jubilee hoyee!
Tinga is fabricator he always win election before voting. And proclamations of having tallying center wardly haikuwa na haja mazee.

Sasa muwape 34A-Z. [emoji119][emoji119]
 
Hawa wajinga waliambiwa maradufu kwamba IEBC haipigi kura, KDF hawatahesabu kura , Al Ghuraih hawaegemei Jubilee na wakaleta kesi nyingi kortini kuhusu uchaguzi. Yaani hawa NASA are paranoid kabisa with no sense whatsoever.
Odinga amesha shindwa kabisa sasa wana leta visingizio vya 34A hata kura zikihesabiwa upya kamwe hatoshinda
 
Tinga is fabricator he always win election before voting. And proclamations of having tallying center wardly haikuwa na haja mazee.

Sasa muwape 34A-Z. [emoji119][emoji119]
Hehe eti 10million strong! Elimu itakuwa vipi? Raila tibim! Afya, Usalama? Raila ndialalaah! Wale ambao hawako serious tunawoneaga 18!
 
Latest Update: 37,116 out of 40,883 polling stations:
Uhuru Kenyatta - 7,546,262 votes (54.57%);
Raila Odinga - 6,164,403 votes (44.58%).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…