Unpleasant Paper ya Mh. Tundu Lissu: Yanayojiri kwenye Mkutano wa TLS Arusha

Kwa nafasi yake a.k.a wewe, ana option nzuri na zenye manufaa kwa taifa hili kuliko aliyo opt. Angepeleka mswada au hoja binafsi ya kuomba ufanyike uchinguzi wa kibunge hasa ikizangatiwa kuwa tuhuma zake ni serious na hazikupaswa kushugulikiwa kama anavyotaka. Otherwise ni Kiherehere cha kutaka sifa
 
Kwa nini hajamtaja huyo jaji ili tumjue. Je ametaja ukurasa wa ripoti ya uchunguzi ambayo aliinukuu kuwa ilithibitisha tuhuma dhidi ya majaji hao?

alitoa Ruling iliyotolewa siku nne zilizopita na kwa mujibu wa chanzo changu mheshimiwa ambaye Ruling yake ameitolea mfano imetolewa na Justice Dr Fauz Twaibu wa HCT...kulikuwa kuna resolution ilitaka kupitishwa mawakili kugomea kuapear mbele ya majaji husika..alisisitiza hii ni movement ya miaka 3 mpaka kieleweke..wakitaka wamuue..
 
Kutokana na Tundu Lisu kumchafulia hali ya hewa mheshmiwa Justice Twaibu alishindwa kupresent mada yake ambayo ilipangwa kuwasilishwa leo pia sababu members wote walikuwa washalishwa sumu.GO ON LISU!
 
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika hikumu iliyotajwa na Lisu ni ya CA na siyo HC.
 
bunge gani?hili tuliloshuhudia bajeti ya wizara inapitishwa baada ya kuchangiwa na watu 6?are you out of ur mind?TLS annual Meeting was a right place for Lisu kuwaamsha his fellow learned Brothers & Sisterz...sababu ile ni Jumuiya ya wanasheria ambao mchango wao ni muhimu katika kuinua gurudumu la maendeleo...mda mwingine ukikosa la kuzungumza ni busara kukaa kimya.
 
Siamini kuna watu mnapoteza muda humu kumjadili TL..he‘s a genious,he‘s got a point but he‘s too sentimental and extremist with own interests only he know better. It is suprising he also has fans.
 
Kwa nini hajamtaja huyo jaji ili tumjue. Je ametaja ukurasa wa ripoti ya uchunguzi ambayo aliinukuu kuwa ilithibitisha tuhuma dhidi ya majaji hao?

uko dunia gani wewe, unataka tundu lisu awataje mara ngapi? tundu lisu lisha ya kuwa mwasheria ni mwanaharakati pia hivyo huwezi mfundisha uoga eti hana kinga kwani kusema ukweli kuna hitaji kinga gani..
 
si ndo wanavyofundishwa na Asha Ngedere..acha nae.
 
wewe unadhani kila kitu ni kupeleka hoja bungeni kuna njia nyingi cha kuionyesha jamii uozo wa watawala..
 
Siamini kuna watu mnapoteza muda humu kumjadili TL..he‘s a genious,he‘s got a point but he‘s too sentimental and extremist with own interests only he know better. It is suprising he also has fans.
He don't really have a point here, he's circumlocuting to the main point, which is the Power of the Executive.

With the current constitution, the president can appoint a Court clerk to be a judge, without a law degree from an accredited college.
...... This can be done in the state of California too.
his arguments, as early stated, are more philosophical than legal.
 
Ndugu,you may have misdirected yourself.unazungumzia article ngapi ya katiba embu itaje? The president cannot appoint ay court clerk to be a judge if the appointee do not meet the required qualifications..eg bachelor degree in law.

Sio katiba,katiba haisemi hivo,so essentially rais anakiuka katiba and that is what TL is saying.
Granted the powers of the executive are excessive and discretionary in many aspects bt not in this.The law clearly stipulates. Non conformity is what sparks off people like Tundu Lissu.
 
Na kwa kutambua kuwa alikuwa akiongea na jamii ya wasomi waziotakiwa kupiga makofi bali kutafakari hoja, bado nonaamini kabisa kuwa alowasilisha mada kwa msukumo wa kiherehere badala ya ujenzi wa hoja.
 
108 (9)
 
Mbona hakumtaja mtu yeyote
 
Na kwa kutambua kuwa alikuwa akiongea na jamii ya wasomi waziotakiwa kupiga makofi bali kutafakari hoja, bado nonaamini kabisa kuwa alowasilisha mada kwa msukumo wa kiherehere badala ya ujenzi wa hoja.

nahic una yako cant waste my time ku argue nawe..waambie waliokutuma waandae Mlango wa Kutokea..the saga continues
 
Umenikumbusha Dr Stokholm katika an Enemy Of the People kuwa the strongest man is the one who stand alone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…