Unpomfumania Mkeo kwanini uwe Mbogo??Je yeye akikufumania???

Uporoto dearest you have been missed!Achana na Kloro anadhani bado anapatikana famasi na mimi namjulisha hata kwa bei ya bure chini ya kaunta hamna anaemtaka!
kamanda uporoto tego lako limefanikiwa, haya chinja sasa.
 
Kumbe na wewe unapenda kudanganywa ehhh??Ukweli ndo huo...sina huruma mie!
hauna huruma lakini una huruma kwa wanao? twisted! by the way there is something about u that i know and u r not even aware of!. naomba rushwa nifafanue
 
hauna huruma lakini una huruma kwa wanao? twisted! by the way there is something about u that i know and u r not even aware of!. naomba rushwa nifafanue
Embu hiyo tuiache!Enhe fafanua alafu ntakupeleka disko jumanne!
 
kamanda unaniangusha aisee! na ile blackmangala imekupiga cha uso nini? mbona hakuna kemistri wala fiziks?
blackbeauty yuko busy uzunguni,niko kwenye foleni ya kikombe cha Mpwapwa siku hizi lol!
 
Hahaha! mbavu zangu jamani miaka ya nyuma nilikuwa nawapeleka wadada naotaka kuongea nao bila bughudha disco la j3/j4 hamna watu kabisa.Liz usikubali ana nia mbaya huyu lol!

Eh dearest na wewe pia?Kumbe na mimi ningekukubali nimgeishia huko kuko?Usijali..mi ndo nampeleka Kloro...ukitaka njoo ushuhudie zawadi yake!
 
Eh dearest na wewe pia?Kumbe na mimi ningekukubali nimgeishia huko kuko?Usijali..mi ndo nampeleka Kloro...ukitaka njoo ushuhudie zawadi yake!
Sikusoma vizuri nilidhani comment ya kloro.
 
Embu niambie bwana alafu ntaku...!
papara lako litakukosesha ................... (wahenga walisema). and koz i am enjoying ur excitement so i prefer to keep it for a while. dont hate me though
 
papara lako litakukosesha ................... (wahenga walisema). and koz i am enjoying ur excitement so i prefer to keep it for a while. dont hate me though

Haya ngoja nilale zengu we endelea kuenjoy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…