Unpopular opinion: Mpole anajua Kuliko Samatta

Unpopular opinion: Mpole anajua Kuliko Samatta

Si kweli
Samata huyu huyu aliyewapiga Liverpool nje ndani wakiwa full kikosi?
 
mpole anafungaga magoli mepesi mepesi, yaani unashangaa mpira uko nyavuni kwa kick ya kawaida kabisa
 
Samatta huyuhuyu aliyecheza tout puissant mazembe, Krc genk, Aston villa, fenerhbache na sasa royal antwerp unamlinganisha na mchezaji wa umiseta? Ili samatta uone kazi yake apate wenzake wa namna yake!

MPENI HESHIMA Mfungaji bora wa CAF, na mchezaji bora ligi ya ubelgiji
 
Back
Top Bottom