Unpopular opinion: Mpole anajua Kuliko Samatta

Huyu huyu aliyepewa pasi nzuri kwenye box akashindwa hata kutuliza?
 
Si kweli
Samata huyu huyu aliyewapiga Liverpool nje ndani wakiwa full kikosi?
 
mpole anafungaga magoli mepesi mepesi, yaani unashangaa mpira uko nyavuni kwa kick ya kawaida kabisa
 
Samatta huyuhuyu aliyecheza tout puissant mazembe, Krc genk, Aston villa, fenerhbache na sasa royal antwerp unamlinganisha na mchezaji wa umiseta? Ili samatta uone kazi yake apate wenzake wa namna yake!

MPENI HESHIMA Mfungaji bora wa CAF, na mchezaji bora ligi ya ubelgiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…