Ushauri wangu jaribu kutafuta zile za bure kama "Microsoft Security Essentials" Inafanya vizuri sana, sijapata matatizo na virus kwa muda mrefu sana.
Transactions za online inabidi uwe makini ile mbaya kwani uwezekano wa kuibiwa ni mkubwa sana hasa kama kadi yako imeunganinshwa pamoja na bank account yako. Kuna hawa jamaa wanitwa Paypal, kampuni unayofanya nayo biashara ikionyesha kuwa paypal ni moja njia za kufanya payment then unaweza register nao, halafu fanya malipo kupitia kwao. Huyo mwenye biashara anakuwa hana credit card information zako, usalama wa A/C yako utakuwa mkubwa sana...