'Unrest' as Hanang residents rush ...

Dua

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Posts
3,236
Reaction score
669
'Unrest' as Hanang Residents Rush for Abandoned Wheat Farms.


Walio Arusha kwenye matukio tunaomba mtueleze kinachotokea huko. Inasikitisha kuona tabia hii inaanza kujitokeza na Serikali haichuku hatua madhubuti kuona kuna amani huko. Whats going on?
 
Hii ni hatari!

Usalama wa taifa wangekuwa wanafanya kazi ya kulinda wananchi kama hawa badala ya kuhangaika kujua wana JF ni kina nani!

Sijui kama nchi hii usalama wa Taifa unafanya kazi kweli wanayotakiwa kufanya. Maana kama wanafanya kweli kazi yao,haya mambo yanayotokea huko Arusha wangeweza kuyajua kabla hayajatokea. Tumeona haya ya richmond,billions za pesa zinatoka BOT bila usalama wa Taifa kujua na mbaya zaidi usalama wa Taifa ukahusika kufuja pesa hizo,na serikali inadai ina kitengo cha usalama wa taifa,hii ni hatari sana. Naona kazi ya ni kulinda ikulu na sio usalama wa wananchi.
 
jambo linalosikitisha sana hapa kwetu ni kwamba kila jambo llazima lifanywe kama zima moto hakuna plan ya kitu chochote kile.

Nguvu za dola zifanye kazi yake when there is still time sio mpaka watanzania wakishapoteza maisha na mali zao ndio kila mtu anaanza kukimbizana kutaka kutafuta solution. na mara nyingi solution za haraka haraka never last.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…