UNSERIOUSNESS IN RELATIONS!....i hate it lots


Mkuu ulivyoandika inaashiria una hasira hapa.

Bolded nafikiri unaweza kutofautisha kati ya IMANI na KUJADILI

Matumizi ya ???? nafahamu ila niliweka msisitizo na hio ni style ya mtu ya kuandika kwa mfano wewe unapenda sana kutumia ........... so najua pia unajua matumizi yake.
 
tuendelee!
HASIRA HAITENDI HAKI YA MWENYEZI MUNGU!..tuijadili sredi...mambo mengine nitakupigia simu!


nipe msimamo wako basi!....πŸ˜€
 
Men wengi tunalelewa kwenye mazingira ya U-mimi kiasi kwamba mwenye haki na mamlaka katika uhusiano ni mimi na mimi tu...
Ntaamua muda wa kurudi,mabanda ya uani mangapi..
Tuna tamaa fisi afadhali kila kituo twataka kusimama..
Washkaji zetu-unaonekana padri kama unakomaa na mke/Gf utapigwa zengwe ukichomoa we kidume..
So kutokana na kushindwa kujisimamia (Strong Belief) katika mambo binafsi tunawayawaya...

Napenda sana kusikiliza wimbo wa Karen White -Superwomen whenever napomchukiza my love wangu and I wonder what if I was a woman...
Kweli tuwe wa-wazi na tuwapende wenzetu
 


usinambie una mawazo ya kuua mtu?πŸ˜•
 

umegonga penyewe kiongozi!...
 
Hapo kwenye red ndipo ulipokosea, umekuwa biased.....!!! Badala ya kuongea ukweli ulivyo, wewe unaongea kile ambacho wanawake wangependa kusikia!

Exactly mpwa. Hiyo figure kaipataje, na pili ni kwamba that uis very subjective. Tuwe objective bana....

weekend bado.....KILIMO KWANZA
 
wewe upo kwenye ndoa...!NIPE MSIMAMO WAKO!...ninachokiongelea hapa HAKIJANITOKEA...!nimeona kinatokea,na ninaamini hakihitaji uwe na ndoa

Umeonaeeh..sasa rejea hoja ya viatu!
 
kashaingia kundini tumkaribishe.
 
Hapa leo kuna nini? Hahaha! Naona mafundisho ya ndoa yamekamata. Kumbe mpo makamanda? Nlifikiri Muro kawapotezea. Anyway, i better be SERIOUS! Jamani mkimwona ZIONDAUGHTER mwambieni its over btn us! Am now very very and VERY SERIOUS with My CHARITY!......... Lolz! Hizi mila nani atadumisha sasa? I better think twice......... Anyway: Huku Makambako gesti zinakaribia kujaa. Fanyeni booking fastafasta. (sio off topic hii, i bet)
 
=Geoff;776515]kama nakosea,just tell me!I ACCEPT CHALLENGES

Hujakosea kitu G. Ila wewe sasa hivi unaona nyota nyota. Muziki wenyewe au movie haijaanza. Nadhani wanajaribu kukuambia kuwa wish list yako ni nzuri na hata Mungu na Malaika Mbinguni wanaishangilia. Labda tu ukumbuke kuwa 13/2 unatakiwa kuanza na gear #1.

lakini kutishana kwamba YOU WILL GET TO KNOW THM SLOWLY una maana kali kidogo mkuu!...unataka watu waogope ndoa,au wawaogope wanawake!

Hakuna sababu ya kuogopa. Maisha yana mambo mengi na kila mtu ameonja tu kipande cha keki. Hakuna aliyeionja keki yote ingawa kuna baadhi wamebahatika kupata shea kubwa. Pia kuna wengi (kama unavyosema) wameambulia patupu

kwamba kila anaeoa ni lazima ACHEAT!?

Hapana G. Tunakukaribisha kwenye chama cha wale tunaojinyima lakini tunaishi kwa amani zaidi. Ushauri na mbinu utapewa bure kwani nasi tumepata bila malipo wala VAT!

WENZANGU MNA NDOA ZENU!...nisaidieni uzoefu!kila mwenye ndoa ana cheat?

Kwa uzoefu wangu (almost a decate), siyo lazima na ndoa ni raha sana; lakini ukiamua kuitengeneza hiyo raha (painstakingly). Shusha presha, kama nia unayo utaweza tu. BUT, "I never said it gonna be easy" BO!!
 

hahahaha!
nimerukaruka kwa furaha!
 

Kijasho chembamba kinanitoka hapa oh !Chrispin
 
oooh xpin is baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaack.
 
Binamu naona unamwaga pointi za kufa mtu.......!!! Au kwa kuwa leo ni Ijumaa nini? Ooops! Kumbe ni bado ni Alhmaisi...!!!


tunamsubiri huyu Geoff, baada ya miezi kadhaa tuone kama tonation itakuwa hii hii au la.

actually nafikiria apewa ban kabisa kuanzisha sredi....yeye achangie tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
tunamsubiri huyu Geoff, baada ya miezi kadhaa tuone kama tonation itakuwa hii hii au la.

actually nafikiria apewa ban kabisa kuanzisha sredi....yeye achangie tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hehehehe!...ngoja niongee na mods waifute sredi....
 
usinambie una mawazo ya kuua mtu?πŸ˜•

kuua kuko kwa aina nyingi b!!! si lazima uwekewe sumu au uchomwe kisu....u might be walking tall but dead!!!!
 
tunamsubiri huyu Geoff, baada ya miezi kadhaa tuone kama tonation itakuwa hii hii au la.

actually nafikiria apewa ban kabisa kuanzisha sredi....yeye achangie tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
mbona hivyo lakini? but whyyyyyyyyyyyyy? hata wewe Kaizer lol!
 
BRAVO!.
u made my day mkuu.
unatumia kinywaji gani vilee???, weitaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…