UNSERIOUSNESS IN RELATIONS!....i hate it lots

.......ulielewa alichotaka kusema? if yes, haikuwa lazima sana kuweka hiyo comment yako, FYI hili si jukwaa la Lugha mzee......! mwaga mapwenti ya kimahusiano, urafiki na mapenzi tu hapa!
told them hommie,TOLDIN'T THEY?.....😀
 
told them hommie,TOLDIN'T THEY?.....😀

............
......kiranga anataka Kuweka kibluray every where.........! watu wa namna hii hata kny 6x6 wana''do'' kibluray bluray....ha!ha!ha!....huo ndo userious unaotaka H/boi?
 
............
......kiranga anataka Kuweka kibluray every where.........! watu wa namna hii hata kny 6x6 wana''do'' kibluray bluray....ha!ha!ha!....huo ndo userious unaotaka H/boi?
HEHEHEHE!najaribu ku-imejini ndani ya sita kwa sita ki-blurei ki-blurei....😀😀
nitarudi
 
hahahahaha!
NILIKUWA SIJAOSOMA HII!
lol
mama lao wapwaaz uko makini eh
 

Geoff, yawezekana uko sahihi lakini siamini kama kuna serious relationships ambazo mmojawapo hayuko serious... that straight disqualifies you first point kwamba 70% of men in serious relationships are not serious!!!

A serious relationship is in-sync and the seriousness is validated by both parties...

But i concur with you on a second point kwamba unapokosa seriusness unamuumiza mwenzako

My take hapa ni
relationships are complicated and purposeful, they need understanding and the measure o seriousness in any relationship may not be similar to others

My seriousness could be on wrong target hence nullifying the whole conext of a serious relationship

assume mimi nipo serious kwamba nampenda sana mke wangu, nampa kila kitu na yeye likewise, but that drives us to forgeting our secure future and end up destroying each others dreams and ambitions, as per definition, we might have a serious relationship (our commitment to each other) but very unserious to our responsibility as lovers and couple or more so as a married couple

In short, gauging seriousness needs a lot more definitions to understand
 
undersood!
KWA SASA NIPO KWENYE TENSION KUBWA SANA to the extent i can't sit down and ''brainstorm'' the posts!....

ngoja nifainolaizi mambo!....
 

Loud and clear bro'
 
nimejifunza mambo mengi sana kwenye hii sredi!.....
 
undersood!
KWA SASA NIPO KWENYE TENSION KUBWA SANA to the extent i can't sit down and ''brainstorm'' the posts!....

ngoja nifainolaizi mambo!....

Mkuu kwa hili ni kweli kabisa... hizi ni dakika za majeruhi na cha maana ni wewe ku-calm down!!! jichukulie kama unaoa mkeo vile halafu utaona mambo yalivyo rahisi

the most difficult part ya ndoa ni pale mnapoandaa mambo, vitu kama utambulisho, posa, kupanga dates nk. lakini kwa sasa hata iweje omba uzima utashangaa mambo yanavyokwenda

I am certain kwamba utaona tambarare

Umeshaanza likizo?
 
well,
nipo free kiaina!
jana tulikuwa na kikao cha bajeti kimeisha saa saba usiku!...nimerudi home nimepigwa na mvua haijawahi kutokea!...IMENIUMA SANA
NIMEFIKIRIA MAMBO MENGI HADI NIKAKARIBIA KUKUFURU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…