Elections 2010 UNSNAPPED: Kilombero yaenda CCM; Regia akata Rufaa

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Nilikuwa nje kidogo ya kijiji kwa hiyo kwa muda sikuwa na taarifa za nini kinaendelea. Baada ya majaribio ya karibu siku tatu hatimaye kura zimetosha kwa CCM. Regia aliweka wakala kwenye kila kituo na matokeo yote waliyonayo kutoka vituoni (kwa mawakala) yalionesha Regia anaongoza kwa kura nilizodokeza awali. Hata hivyo baada ya kuhesabu na kuhesabu tena kiasi cha kura kikazidi in favor ya CCM.

Hivyo, Mkoa wa Morogoro wote umeenda CCM. Kwa hivi sasa matokeo rasmi ndiyo hayo ya CCM kushiinda Kilombero. Kwa vile tunajua kuwa baada ya kukata rufaa mahakama zimepewa jukumu la kushughulikia kesi za uchaguzi mapema (mabadiliko ya karibuni ya sheria) tungojee ushahidi katika mahakama wa kuchakachuliwa kura au la.
 
:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Mzee Mwanakijiji, kuna post kama tatu humu zinasisitiza kura za Regia zimetosha na katangazwa mshindi, kupitia ITV!. Which is which.
 
:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::doh::doh::doh::doh::doh::doh::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry: Natafuta mtu au kitu cha kumalizia hizi harisa jamn:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Regia amechukua uamuzi wa busara na kwa wakati muafaka tunamuomba na DR afanye hivyo kwa kufungua kesi mahakamani dhidi ya NEC kwa kutangaza matokeo kinyume na data zilizomfikia Dr kutoka kwa mawakala.
 
Hii inachanganya sana. Hawa CCM wangemwachia huyu dada kiti chake. Tumwombee ashinde mahakamani!
 
ahsante MW, yaani umeonyesha masikitiko makubwa sana juu ya hili nami nakuunga mkono. kweli hawa watu hwana utu kabisaaaa, moyo unaniuma mpaka basi!
 
Mwanakijiji thanks, CCM haichagui cha kuiba kama alivyo mwizi wa kawaida, inatia uchungu sana, ila angalia Mkoa wa Morogoro nimepost kiwango ch elimu cha wabunge kutoka msingi hadi Secondary, Morogoro wote CCM wameishia form4, huu mkoa upo nyuma sana kwa wakazi wake kielimu, ikifuatiwa na mikoa mingine niliyopost, AIBU KWA CCM, ETI HATA LIPUMBA ANAMZIDI Dr. Slaa....!!!??, CCM CCM cccccccccccccccccccccm kizazi hiki kipya kitawafundisha, ujinga wa watu ndio mtaji wenu, 2015 mtajua, Dr Slaa akatae matokeo. period
 
Nimesema nipo tayari kutoa msaada wa kisheria kupambana na upuuzi huu. Hatuwezi tukaendesha nchi namna hii. Vileviel lazima iendeshwe kampeni kali sana ya kisiasa na kijamii dhidi ya NEC na vibaraka wao Makame na Kiravu.
 
Hii inachanganya sana. Hawa CCM wangemwachia huyu dada kiti chake. Tumwombee ashinde mahakamani!

hawa ccm my foot wakati wewe mwenyewe ni mmoja wao? unafiki mwingine unatia kichefuchefu kweli
 
ITV nddo wametoka denouce walichotangaza mchana
 
Kusema kweli, bila ya kuwa na tume huru ya uchaguzi kura zetu zitaendelea kutokuwa na maana yoyote. Lazima liweko shinikizo la kuwa na tume huru ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…