kande kavu JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 234 Reaction score 88 Jun 15, 2012 #1 Haya haya wanajamii. Natumaini mmeliona/sikia tangazo jipya la TACAIDS juu ya network ya wapenzi(mtungo), ambapo mimi nakubali kabisa ndivyo ilivyo! Je huu si wakati wa kujitoa kwenye hizo networks kwa salama yetu?
Haya haya wanajamii. Natumaini mmeliona/sikia tangazo jipya la TACAIDS juu ya network ya wapenzi(mtungo), ambapo mimi nakubali kabisa ndivyo ilivyo! Je huu si wakati wa kujitoa kwenye hizo networks kwa salama yetu?
cartura JF-Expert Member Joined Aug 13, 2009 Posts 3,026 Reaction score 789 Jun 15, 2012 #2 la kuvunda halina ubani na sikio la kufa halisikii dawa....acha wamegane tu kwa raha zao
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Jun 15, 2012 #3 kande kavu said: Haya haya wanajamii. Natumaini mmeliona/sikia tangazo jipya la TACAIDS juu ya network ya wapenzi(mtungo), ambapo mimi nakubali kabisa ndivyo ilivyo! Je huu si wakati wa kujitoa kwenye hizo networks kwa salama yetu? Click to expand... Kwa kipindi hichi labda uiache nyumani tu!
kande kavu said: Haya haya wanajamii. Natumaini mmeliona/sikia tangazo jipya la TACAIDS juu ya network ya wapenzi(mtungo), ambapo mimi nakubali kabisa ndivyo ilivyo! Je huu si wakati wa kujitoa kwenye hizo networks kwa salama yetu? Click to expand... Kwa kipindi hichi labda uiache nyumani tu!
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,296 Reaction score 12,972 Jun 15, 2012 #4 mh,mtandao huo umekuwa kwa kas kushinda mitandao yote nchini! Tanzagiza bila ukimwi haiwezekan. . .