Unsubscribing from Google Groups without a gmail account

Unsubscribing from Google Groups without a gmail account

Moderator

Supervisor
JF Staff
Joined
Nov 29, 2006
Posts
703
Reaction score
1,151
Wapo watu wengi wanakuwa wanalalamika kuhusiana na email zao kuunganishwa bila hiari zao kuingia kwenye hii Bidii Afrika Google Group ya rafiki zetu toka Kenya.

The way forward to get your email account away from this group is simply as follows:
Send a blank email from the account subscribed to (account receiving mails)

groupname-unsubscribe @ googlegroups.com

(no spaces, they're for having an unmasked mail address here)

Replacing groupname with the group's name (i.e bidiiafrika) and removing the spaces.

NO SUBJECT

NO MESSAGE

Then,

You will receive an email do not waste your time by clicking anywahere, simply hit REPLY and SEND.

This must work whether you have or do not have a gmail account.

Pole zenu! I was one of the victims mpaka ofisini wakawa wanalalamikia mails zinazoingia kwenye server daily. Jamaa wakali wa ku-spam.
 
what will be the subject of the email or we are going to leave the subject blank as well?
 
Yaani kumbe BIDII ni ya Wakenya. Namimi nilijikuta tu email yang inapokea messages kutoka kila kona. Kwa siku karibu email 40 nikajitoa haraka sana. Sasa kwanini waweke email bila hiyari ya mtu khhhhhha!
 
Pole sana,

Umeshapewa options za namna ya kujiondoa, fuata maelekezo.
 
Acheni majungu ya Ki-Mingingo. Kuna Bidii ya Wakenya. Na kuna bidii ya Watanzania. Hiyo mliyomo ni ya Watanzania. URL yake ni: Bidii - Karibu Tujenge Nchi | Google Groups

ndugu yangu usichangae watu kuweka thread kama hii hapa,wana malengo yao sio hiv hivi,kwa mtindo huu JF hatufiki popote,inabidi tulete ushindani na sio mambo kama haya ambayo yanaanza kuchomoza,sijui Michuzi/misupu mara Bidii.nimewapata wakulu waJF.anyway Karibuni tujenge nchi
 
Acheni majungu ya Ki-Mingingo. Kuna Bidii ya Wakenya. Na kuna bidii ya Watanzania. Hiyo mliyomo ni ya Watanzania. URL yake ni: Bidii - Karibu Tujenge Nchi | Google Groups
Mbona unakuwa mbogo!
Umekiri mwenyewe kwamba kuna BIDII ya Wakenya. Kama aliyokuwa akiizungumzia ni hiyo ya Watanzania, basi ni swala la wajumbe wenzake (kama wewe) kurekebisha bila kutumia kauli ya mfano uliotoa.
 
Lazydog acha kuwa lazy. Huo mfano umetolewa kwa sababu kilchofanyika hapo ni majungu. Mimi sio mshabiki wa Bidii. Ila sipendi majungu. Napenda ukweli na uwazi.
 
kama kweli haujasubscribe na wanakutumia email bonyeza button ya Spam kwenye email yako, hakuna haja ya hatua zote hizo.
 
Back
Top Bottom