hichi kitu kama nilikisoma form 2 kwenye topiki fulani hivi inaelezea mambo ya latent heat of fusion na mambo ya linear expansivity kama sikosei nshasahau..Maji ya moto hugeuka kuwa barafu haraka zaidi kuliko maji baridi...π
Akikatwa kichwa cha juu au cha chini???Mende ndio kiumbe mwenye uwezo wa kuishi hadi wiki moja baada ya kukatwa kichwa (bila kichwa chake)....[emoji4]
Mvua ikinyesha
Hahahaaa.....
Physics hii.Maji ya moto hugeuka kuwa barafu haraka zaidi kuliko maji baridi...π