Ni kweli mkuuAmin ni miongoni tu mwa watu ambao waliishi wakiamini madaraka na uhai wao ni wa milele,kumbe walikuwa wanajidanganya,na walipokumbuka kuwa madaraka na uhai ni wa muda mfupi tayari walikuwa wamechelewa. Amin ni mfano kwa binadamu ambao wametuachia funzo hapa duniani. Tuishi vizuri na watu ndugu zangu.