Pohjois Haaga
Member
- Jun 29, 2015
- 47
- 16
Wakuu, nikiwa maonyesho ya dar property mwaka huu Diamond Jubilee, nilipita banda la PPF nikakuta matangazo ya mradi wa mji mpya katika fukwe ya kijiji cha uvivu Ununio. Niliambiwa kama ujenzi utaanza mwishoni mwa July 2015. Kuna yo yote mwenye uhakika Zaidi wa mradi huu.
Ule mradi wa Bahari Beach umeishia wap mbona majengo yanaoza tu.....!!!!!!???
Ule mradi wa Bahari Beach umeishia wap mbona majengo yanaoza tu.....!!!!!!???