Ya ununuzi wa hisa ni mzuri iwapo una fedha nyingi za kutosheleza, pia ina faid iwapo utaweza kununua hisa katika bei ndogo lakini kwa miaka ya baadae thamani yake ipande na hii mara nyingi hutokea baada ya miaka kadhaa iwapo kampuni inapokuwa inapata faida na mafanikio. Kama uko Dar ni vizuri zaidi ukienda pale dar stock exchange watakulelezea vizuri zaidi hawana longolongo ukifaika watakuelezea from A to Z mpaka makapuni na bei zao za hisa. Ukisha nunua hisa utapewa cerificate baada ya wiki kadhaa lakini pia utaweza kuuza hisa hisa zako iwapo utatak kufanya hivyo. Pia unaweza tembelea website yao ina information juu ya makapuni na bei zao.