S stanb Senior Member Joined Feb 19, 2014 Posts 153 Reaction score 19 Mar 1, 2015 #1 Kwa anaefaham namna ununuzi unafanyika naomba anijuze, pia tofauti ya bei ya bizaa ikoje pindi inapokua imemfikia mteja ukilinganisha na bei za ndani.
Kwa anaefaham namna ununuzi unafanyika naomba anijuze, pia tofauti ya bei ya bizaa ikoje pindi inapokua imemfikia mteja ukilinganisha na bei za ndani.
Kutinginya86 Member Joined Nov 7, 2014 Posts 85 Reaction score 52 Mar 1, 2015 #2 tafuta uzi mmoja uliwahi kuanzishwa, na mdau mmoja kwa heading ya [h=3]Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy), tafuta huo uzi uupitie I hope utapata mwanga wapi pa kuanzia.[/h]
tafuta uzi mmoja uliwahi kuanzishwa, na mdau mmoja kwa heading ya [h=3]Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy), tafuta huo uzi uupitie I hope utapata mwanga wapi pa kuanzia.[/h]