Ununuzi wa Hisa

Ununuzi wa Hisa

Claranito

Member
Joined
May 26, 2014
Posts
28
Reaction score
3
Habarini za kazi wapendwa!
Ninatamani kufahamu juu ya hii biashara ya ununuzi wa hisa, hivi inafanyikaje? Mtaji mzuri wa kuanzia ni kiasi gani? Unapataje faida kwa kununua hisa? Ni wapi au kampuni gani inafaa kwa biashara hiyo kwa sasa?

Nitashukuru nikielimishwa.
 
Naona hakuna aliye kujibu ngoja nikupe jibu kutokana na uelewa wangu,Hisa zinauzwa na soko la his DSE ila mm na ww hatuwezi kwenda pale kununua direct tunaenda kwa mawakala wao,ukigoogle Stock brokers tanzania utaona zipo kampuni kama 6 hivi,mm nnayoitumia ipo hapo Golden jubilee.
Kwanza ww do ur research ukiangalia taarifa ya habari na magazeti the most exepensive hisa ndo zinafaida na kila kukicha zinapanda means those companies are earning so much kama TBL na TCC ni ngumu sana kupata hisa zao coz no one is selling maana wanapata faida kubwa.Ukifika we sema nimekuja nunua hisa ila sina uelewa sana wata kubrief.
Mara nying gawio hutoka twice or once per year unapewa share yako,ila ukitaka gawio kubwa inakubidi ununue hisa nyingi sana sio lazima kwa mkupuo ila unaweza ukafanya like every month unaenda kununua.
Nakushauri hisa zifuatazo NMB,Tanga cement,Twiga cement,SWISSPORT kuna hii mpya sijafanyia research inaitwa Swala Energy.

Best of lack in your investment...!!!!!
 
Asante sana ndugu, maelezo yako nimeyaelewa vizuri nayafanyia kazi.
 
Habarini za kazi wapendwa!
Ninatamani kufahamu juu ya hii biashara ya ununuzi wa hisa, hivi inafanyikaje? Mtaji mzuri wa kuanzia ni kiasi gani? Unapataje faida kwa kununua hisa? Ni wapi au kampuni gani inafaa kwa biashara hiyo kwa sasa?

Nitashukuru nikielimishwa.

Sikia nikuambie. Kwanza habari yako? Nadhani upo okay! Sijaua ya kwamba unataka biashara ya hisa kwa upande gani ila kikubwa ninachoamini ni kwamba ntatoa jibu la kukusadia. Mimi sina habari sana na hisa za hapa Tanzania japo ni kweli kwamba ki ujumla zinalipa. Habari yangu ni juu ya hisa za kimataifa (International shares)

Hizi ni hisa zisizo na ubabaishaji. Kuna mtandao mpya wa kijamii ambao una sura kama ya facebook hivi. Huu mtandao ulianza 03/31/2013. Na kwa sasa ndo umefikia mwishoni wa kufanya final Launching. Wao wanatoa Hisa kwa njia kuu mbili hivi. Moja ni kutafuta watu wa kujiunga (kila watu 5 ni Hisa moja) Na kati ya hao 5 mmoja wapo akiingiza watu 5 pia, yeye atapata hisa moja na hiyohiyo hisa pia itahesabiwa na kwako pia.

Kwa hiyo itaendelea hivyo mpaka kizazi cha saba. Soma hii:

You may also get your shares in the GlobalShare community simply during the pre-organisation stage. All you need to do is to invite your friends and acquaintances to the GlobalShare's website.
If you have invited 5 of your friends successfully, you will get 1 GlobalShare share straight away. But you may not merely get shares after inviting your own acquaintances, but after each further user invited by your friends as well, moreover after your friends' acquaintances too, because through 7 subsequent levels after each of your friends, who realizes 5 successful invitations you will also get 1 more GlobalShare share.

Keep it in your mind that you can get extra shares each and every day until global departure.
Sign in to your account each and every day and will be credited extra shares to you each and every day.

Najua kwamba Watanzania huwa ni wavivu sana kuamini au kujikita kwenye biashara serious. Ukimwambia mtu ni bure hatoamini, ukimwambia ni hela atasema hana na ndo kisingizio. Hii ni bure kabisa.

Na siku zimeisha maana tarehe
09/29/2014 ndo siku rasmi ya "Final Launching" itakuwa ni siku ya kuuza share ulizonazo na kulipwa sehemu yako (Hisa moja ni kati ya Dola 20 mpaka 40)

Ukitaka kujiunga ingia link hii :
https://www.globallshare.com/en/2737808.html

Hakikisha umekopi hiyo link kwa makini bila kukosea na pia wakati unajaza fomu hakikisha mahali palipoandikwa Your referrer Pana jina limeandikwa "Ronald Fugara" na namba yangu ya simu ni 0682254786 kwa msaada zaidi. Asante!

safi. nina share za UTT.....they are not profiting me.
 
Back
Top Bottom