Naona hakuna aliye kujibu ngoja nikupe jibu kutokana na uelewa wangu,Hisa zinauzwa na soko la his DSE ila mm na ww hatuwezi kwenda pale kununua direct tunaenda kwa mawakala wao,ukigoogle Stock brokers tanzania utaona zipo kampuni kama 6 hivi,mm nnayoitumia ipo hapo Golden jubilee.
Kwanza ww do ur research ukiangalia taarifa ya habari na magazeti the most exepensive hisa ndo zinafaida na kila kukicha zinapanda means those companies are earning so much kama TBL na TCC ni ngumu sana kupata hisa zao coz no one is selling maana wanapata faida kubwa.Ukifika we sema nimekuja nunua hisa ila sina uelewa sana wata kubrief.
Mara nying gawio hutoka twice or once per year unapewa share yako,ila ukitaka gawio kubwa inakubidi ununue hisa nyingi sana sio lazima kwa mkupuo ila unaweza ukafanya like every month unaenda kununua.
Nakushauri hisa zifuatazo NMB,Tanga cement,Twiga cement,SWISSPORT kuna hii mpya sijafanyia research inaitwa Swala Energy.
Best of lack in your investment...!!!!!