Ununuzi wa magari kwenye minada ya Japani

avocado T

Member
Joined
Jul 18, 2022
Posts
39
Reaction score
56
Wakuu habarini za majukumu, samahani mwenye uzoefu au anayefahamu utaratibu wa kununua magari kwenye minada ya Japani anisaidie. Nasikia mnadani magari ni bei nafuu.

1. Naomba kufahamu utaratibu ukoje, kuanzia kushiriki mnada, kununua mpaka kulifikisha TZ
2. Je ni kweli bei ni nafuu kuliko kwenye haya makampuni kama SBT, Beforward, Cardeal etc?
3. Usalama wake ukoje?

Nawasilisha.
 
Ni kweli mnadani gari bei ni ndogo sana, ishu ni kupata access ya mnada. Kwanza ili uwe na sifa ya kununua mnadani kuna cash inabidi udeposit ambayo inaanzia dola 1000-1500 inategemea na kampuni.

Mfano ili uweze ku-access mnada kupitia kampuni ya Autocom Japan itakupasa udeposit pesa. Baada ya hapo unapewa utaratibu, kumbuka mnadani watu wana-bid the highest bidder ndio anapewa kipaumbele.

Usalama wa nini pesa au?

Mengine watajazia wadau, hope umepata mwanga.
 
Unafuu ni kweli kabisa....
 
Shukrani sana mkuu

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…