Ununuzi wa Magari

Huseni Ali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
289
Reaction score
187
Habari wakuu, natumai nyote wazima.

Kwa wanaotaka magar kutoka nje, nakununulia Gari aina yoyote na kukusafirishia mpaka dar kwa $690 kutoka UAE.

N.B, hiyo $690 ni ya usafiri tu means shipping. Na Kwa yyt anaetaka spares na chochote kile kinachohusiana na gari feel free to PM for more.

 
Weka namba za simu mkuu,ni wangapi hawako humu JF na wanahitaji huduma kama hii...!
 
Ofisi Zenu zipo wapi?
Bro hatuna ofisi ni Watu wa kuhangaika tu lakini kila kitu kuhusiana na usalama wa mali zako Kipo na Mara nyingi tunaeka bondi ya gari na nyumba Kwa yoyote yule anaetaka assurance. Lakini vile vile ni watu ambao tunaweka bima kwenye usafishaji wa magari Kwa usalama wa mali.
Nadhan itakua imetosha kuondoa any doubt.
Ahsante.
 
Asante Kwa ufafanuzi Mkuu pia usiache kutembelea jukwaa hili mara Kwa mara maana Sisi ndiyo wadau wenyewe
 
Mambo vp?
Kwaiyo gharama zote za ushuru wa bandari ni juu yenu?
 
Mambo vp?
Kwaiyo gharama zote za ushuru wa bandari ni juu yenu?

Me nilivoelewa, unanunua gari UAE kwa hela yako, yeye anakusaidia kulitoa kule hadi bandari ya DSM ya iyo $669 hafu mambo ya TRA na Clearance & Forwarding juu yako pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…