Ununuzi wa mazao wakati wa msimu wa mavuno

Ununuzi wa mazao wakati wa msimu wa mavuno

Pungubern

Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
23
Reaction score
3
Hello to all guys.

Ninajipanga kununua mazao(mpunga) wakati wa msimu wa mavuno kwani bei itakuwa chini,na baada ya miezi kadhaa nitauza,ila sina uzoefu na hii shughuri,msaada wa mawazo kwa yeyote mwenye uzoefu na hii shughuri please!!
 
Back
Top Bottom