P Pungubern Member Joined Jul 16, 2011 Posts 23 Reaction score 3 Dec 6, 2011 #1 Hello to all guys. Ninajipanga kununua mazao(mpunga) wakati wa msimu wa mavuno kwani bei itakuwa chini,na baada ya miezi kadhaa nitauza,ila sina uzoefu na hii shughuri,msaada wa mawazo kwa yeyote mwenye uzoefu na hii shughuri please!!
Hello to all guys. Ninajipanga kununua mazao(mpunga) wakati wa msimu wa mavuno kwani bei itakuwa chini,na baada ya miezi kadhaa nitauza,ila sina uzoefu na hii shughuri,msaada wa mawazo kwa yeyote mwenye uzoefu na hii shughuri please!!