Ununuzi wa pamba kwa msimu 2020 unaanza lini?

Ununuzi wa pamba kwa msimu 2020 unaanza lini?

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Wakulima wa pamba wameshavuna pamaa yao tayari ila hawaoni kama wahusika wako tayari kuinunua pamba yao.

Lini ununuzi wa pamba unaanza kwa sababu kukaa na pamba ndani ya nyumba ni hatari sana. Aidha wakulima wanataka hela ya kurudisha watoto shule.
 
Back
Top Bottom