Ununuzi wa spare parts ukoje kwa Tanzania?

Ununuzi wa spare parts ukoje kwa Tanzania?

Shinji_

Member
Joined
Sep 30, 2020
Posts
16
Reaction score
25
Hivi hua kuna procedures gani za kufuata wakati wa kununua spare parts za magari au gari ambalo liko juu ya mawe ili ni dismantle au kuchukua body yake.

Kwaajili ya kuuza badae ambapo itahitajika kwa mfano kama utakua na duka la kuuza spare parts, kwa hapa Tz sheria zikoje .

Mwenye anafahamu atujuze.

images.jpg
 
Nenda kariakoo kule mitaa ya shule ya uhuru watakusaidia wenye maduka. Au nenda kule mitaa ya Tandale wanapo dismantle magari
 
Sawa njoo lakini Tutaanzana uraia wako (joking?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi hua kuna procedures gani za kufuata wakati wa kununua spare parts za magari au gari ambalo liko juu ya mawe ili ni dismantle au kuchukua body yake.

Kwaajili ya kuuza badae ambapo itahitajika kwa mfano kama utakua na duka la kuuza spare parts, kwa hapa Tz sheria zikoje .

Mwenye anafahamu atujuze.

View attachment 2159157
Hakuna utaratibu wowote. Ni makubaliano yenu mtakavofikia na muuzaji
 
Back
Top Bottom