Hakuna utaratibu wowote. Ni makubaliano yenu mtakavofikia na muuzajiHivi hua kuna procedures gani za kufuata wakati wa kununua spare parts za magari au gari ambalo liko juu ya mawe ili ni dismantle au kuchukua body yake.
Kwaajili ya kuuza badae ambapo itahitajika kwa mfano kama utakua na duka la kuuza spare parts, kwa hapa Tz sheria zikoje .
Mwenye anafahamu atujuze.
View attachment 2159157
Mnamalizana kikubwa tuNa ukikumbana na kitu cha wizi [emoji55]