Ununuzi wa Tiketi ya mechi ya Fainali Ya Kombe La dunka

ProBook

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
559
Reaction score
264
Habari Wakuu..

Poleni na Majukumu

Naomba kuuliza.. Nahitaji tiketi nne za mechi ya fainali ya kombe la dunia kwa ajili ya kuandaa promotion kazini kwetu.

Tumechelewa kufanya manunuzi ya ticket hizo.. Je hamna madalali ambao wanazo wanaoweza kuniuzia hizo ticket nne.!?

Asanteni
 
Jaribu kumtafuta shaffih dauda labda atakuwa anafahamu hao madalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…