Ununuzi wa vitu online

Ununuzi wa vitu online

vanilla

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
448
Reaction score
357
Habari wadau wa jukwaa,

I hope Eidd ni njema kwenu. Ningependa kupata information kuhusu kununua vitu (nguo za kike, handbags na accessories) online kutoka UK, China, Finland Nk. kwa jumla. kuna ambae ana uzoefu na hili? ni website zipi zinaaminika? na shipping inakuaje? Na malipo ya Tax baada ya kufika nchini (TZ) yakoje? Na kati ya kwenda physically kununua mzigo ama kuagiza online, which is cost effective?

I would highly appreciate kupata hizo information kwa mwenye nazo hata kama ni through PM ningefurahi sana ili niweze kuanza biashara. Thank you in Advance
.
 
Back
Top Bottom