Unyama mkubwa katika chuo kikuu cha sebastian kolowa(sekomu)kilichopo lushoto tanga.

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
wana JF wanafunzi wa SEKOMU wanaojiandaa kuanza mitihani yao ya kumalizia semister yaani(UE) wamejikuta wanaambiwa kama ulikuwa hujakamilisha ada kulingana na dead line hutakiwi kufanya UE wakati huo wengine washalipa na wana receipt za bank, kwa kifupi hiki chuo kinaogozwa na watu wasio na elimu kwani kuanziajuu ni majanga hasa SEmkiwa kama planning officcer mwenye master ya eilmu maalumu toka norway kwa hiyo wanajamii kwa kifupi hiki chuo hata elimu kinayotoa ni feki kwani kuna ushahidi tosha kuwa chuo hakina hata proffessor hata mmoja pia chuo kinaingilia hadi kuondoa rais wa serikali ya wanafunzi madarakani hakuna the real democrancy. tunaiomba srikali kutuma team ya wataalum kukangua hiki chuo mara moja kwani degree zitolewapo hapa hazina ubora kwani uongozi ni janga.
 
Je natatizo hayo yameanza tangu lini? Nimewahi kusikia watu, wakiwemo wakufunzi na wanafunzi wa UDOM, wakikisifia hicho chuo. SEKUKO ilikuwa inapata sifa lukuki kwa kuwa kinafanya vizuri kwenye Elimu Maalumu, hususani ikilinganishwa na UDOM.
 
Mosie Sabai pole sana, hiki Chuo kinaongozwa na watu ambao hawana weledi, kilikua sekondary ambapo nilisoma mimi, nadhani Mama Munga angekubali kufanya mabadiliko badala ya kuendelea kuweka wasambaa angeweka na watu wenye sifa nzuri. Poleni sana
 
wana JF wanafunzi wa SEKOMU wanaojiandaa kuanza mitihani yao ya kumalizia semister yaani(UE) wamejikuta wanaambiwa kama ulikuwa hujakamilisha ada kulingana na dead line hutakiwi kufanya UE wakati huo wengine washalipa na wana receipt za bank, kwa kifupi hiki chuo kinaogozwa na watu wasio na elimu kwani kuanziajuu ni majanga hasa SEmkiwa kama planning officcer mwenye master ya eilmu maalumu toka norway kwa hiyo wanajamii kwa kifupi hiki chuo hata elimu kinayotoa ni feki kwani kuna ushahidi tosha kuwa chuo hakina hata proffessor hata mmoja pia chuo kinaingilia hadi kuondoa rais wa serikali ya wanafunzi madarakani hakuna the real democrancy. tunaiomba srikali kutuma team ya wataalum kukangua hiki chuo mara moja kwani degree zitolewapo hapa hazina ubora kwani uongozi ni janga.

mkuu kwanini unasema chuo kinatoa degree feki?
 
Back
Top Bottom