wana JF wanafunzi wa SEKOMU wanaojiandaa kuanza mitihani yao ya kumalizia semister yaani(UE) wamejikuta wanaambiwa kama ulikuwa hujakamilisha ada kulingana na dead line hutakiwi kufanya UE wakati huo wengine washalipa na wana receipt za bank, kwa kifupi hiki chuo kinaogozwa na watu wasio na elimu kwani kuanziajuu ni majanga hasa SEmkiwa kama planning officcer mwenye master ya eilmu maalumu toka norway kwa hiyo wanajamii kwa kifupi hiki chuo hata elimu kinayotoa ni feki kwani kuna ushahidi tosha kuwa chuo hakina hata proffessor hata mmoja pia chuo kinaingilia hadi kuondoa rais wa serikali ya wanafunzi madarakani hakuna the real democrancy. tunaiomba srikali kutuma team ya wataalum kukangua hiki chuo mara moja kwani degree zitolewapo hapa hazina ubora kwani uongozi ni janga.