Unyama Wa Mzungu. Hii inatisha

Nilikuwa nafuatilia documentary moja aljazeera nimegundua wanawake hasa wa Nigeria wanaishi maisha kama haya sana sana france, Italy kama nakumbuka vizuri. Yani wamejazana Italy lundo doing same business. Na most of them wameingizwa mjini hawakujua kuwa wanaletwa Ulaya kujiuza. Tena wanaapishwa na hao ma agent kupitia kwa juju man; na wanasema wenyewe ukikimbia tu juju inakuharibu. Nigerians trust and fear Juju than anything!

Nilishangaa kwani kuna mmoja alifanikiwa kuwatoroka na anakaa na masister kwa sasa; lakini anasema familia yake Nigeria iko mashakani kwani wanakuwa threatened na network ya huyo mama aliyempeleka ulaya. Sasa sijuhi huko Nigeria hamna vyombo vya dola??

Wewe mtu kukuleta Ulaya anadai umlipe dola 60,000 na kwa kuwa hawana wanajiuza na ela anchukua huyo mama mpaka zifike dola elfu 60. Kweli nauli ya Italy ni dola 60,000?

Yani ni umafia mtupu; na huko Italy kulivyo the most corrupt country ndo kabisa ashikwi mtu.

Sikujua kama na UK ni same. Am sure angepeleka malalamiko yake kwenye vyombo vya dola wangemsaidia. Ila sasa nae ni bomu; kusema ni Liberia wakati ni wa Nigeria tu ni bomu.

KWA wale mnaodhania Ulaya hakuna ngoma; ooh wazungu hawana HIV be careful; abeg!
 

Painful indeed...yaani...wakati mwingine wanawake tunaponzwa na vitu vidogo tu ambavyo mwisho wa siku vinatucost maishani. Pole kwa huyu victim..
 
tamaa mbaya sana

Kamwambie (mwenyekiti) muke ya muthungu heti wana tamaa. Muthungu ananunua

-Range Rover, -CL LouisVouitton -Harusi ya Nguvu -Dhaabu
Haya ndo wanayoyafuata madada zetu. Hata kama ni mzee anajinyea, watajidai wana mume babu yake. Wazungu wehu, wasubiri hao mashauzi siku wanatoswa kama mbwa. Mzungu anafungasha na kuondoka bila kuhaga, hawajali kuwaacha watoto wao chotara kwenye mataa. Mi nimeyaona na macho yangu!

Heri hutu wangu kuliko kujidhalilisha kiasi hiki kwa sababu ya vijihela
 
nadhani ni mmoja kati ya mia anaeweza kueleza hali halisi kama hivi.
 
watu bwana daily muhimbili watu wanakufa na ngoma hamuibebei bango.natafuta mzungu jamani.........nimeambiwa nigoogle dating sites wamejaa kibao tatizo najishtukia am phat dada kila nikiwaona wake zao ni english figure help plizzzz nitumie nini nipungue?
 
Suala si ngoma tu ushawahi ku sex na mbwa??? Are you ready for that?? If yes go ahead:juggle:

 
Suala si ngoma tu ushawahi ku sex na mbwa??? Are you ready for that?? If yes go ahead:juggle:

hamna mtu mwenye ushahidi wa hayo maneno,hizo zinabaki ni imani sawa na wale wanaoamini albino watawaletea utajiri.
 
nadhani ni mmoja kati ya mia anaeweza kueleza hali halisi kama hivi.
unajua hata kama ingekuwa imetungwa still iko very logical...usiona dada zetu hawa anarudi toka ulaya na mihela tu kirahisi rahisi...ndo yanayotokea haya kwa kiasi kikubwa...hasa sababu ya hivi vi sponsa visivyokuwa na kichwa wala miguu...ukiingia kichwa kichwa tu unalo..!!!
 

unaonekana hujakutana na masahibu ya dunia hii. Usidhani yeye alipenda kufanya yote yale kwa ridhaa yake.
 
hamna mtu mwenye ushahidi wa hayo maneno,hizo zinabaki ni imani sawa na wale wanaoamini albino watawaletea utajiri.

mrembo tafuta mwafrika. sioni sababu ya mtu kujidhalilisha; yaani ku-***** na mbwa. hizo sex tapes za ku-***** na mbwa zipo kibao mitaani hata hapa dar zinauzwa. wewe unazani ukiwa fat hauwezi kupata mume? wanaume kibao wanapenda full figure mammy. mimi ni kilo 60 lakini wadada bonge wanang'ang'aniwa na vijana hadi mababu. hii ni tatizo kubwa wanawake wa kiafrika kuzalilishwa na wazungu. angalia hapa kwetu, wanawake kibao wakina kili wanalala na babu zao kwa ajili ya hela hawajui jamii inawachukulia vipi. ndo mambo ya utandawazi, ila hizi tamaa zinatupeleka pabaya siye wanawake
 

mkuu hatamie niliiona hiyo maneno, i was completely buffered by that. ila hii ya huyu binti imenisikitisha sana. Mie siku zote huwa nasema hawa wazungu hawana ubinadamu kabisa. utakuta inakusifia lakini ukiwapa mgongo, wanakung'ong'a, hawana maana kabisa hii mijitu
 
I wish i did not read this story. My day has gone fro worse to worst. No longer in the mood to visit other fora. See you tommorow, i am going to sleep now.

CIAOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!
 
Hata wewe ukifanyiwa hicho kitendo hutamsimulia mtu; sasa take risk ya kutafuta ukweli. But you will never give us feedback.
Nakumbuka miaka ya 80s kulikuwa na kesi tena Dar mdhungu alichukua changudoa afu akamlazimisha ku sex na mbwa. Sasa hiyo si story ilikuwa kwenye news Tz.

Tatizo hawa watu nina wasiwasi wanatuona kama wanyama; sisi tunawapapatikia. Hence hawaoni ubaya kuwapa raha mbwa wao through a black lady. Ukizingatia mbwa wao wana ukame si kama wetu wanaoranda mtaani kusaka majike. Lol.

hamna mtu mwenye ushahidi wa hayo maneno,hizo zinabaki ni imani sawa na wale wanaoamini albino watawaletea utajiri.
 
Ahsante kwa taarifa hii muhimu Mkuu "uhuru1". Ningekuwa na uwezo taarifa hii ningeinunulia "air time" ktk vituo vyote vya televisheni na Redio Afrika nzima. Ili watu wote wa Afrika wajue madhara ya kupapatikia 'wazungu' wenye hila.
 
sio wote wasiotaka matingatinga kuna wengine matingatinga ndo ugonjwa wao...hivi kwani hakuna kaka zetu wenye fedha kama suala ni mwanaume mwenye pesa jamani mpaka ukahangaike na vijibabu vinavyonuka shombo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…