P Phillipo Bukililo JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 18,487 Reaction score 13,611 Feb 15, 2022 #101 Babati said: Hatuwataki huku tunataka mbaki kwenu Click to expand... Hamna jeuri ya kumkataa mtu ndani ya mipaka ya Tanzania. Mtaishia kupiga kelele humu JF na kujifariji kwa kuanzisha uzi.
Babati said: Hatuwataki huku tunataka mbaki kwenu Click to expand... Hamna jeuri ya kumkataa mtu ndani ya mipaka ya Tanzania. Mtaishia kupiga kelele humu JF na kujifariji kwa kuanzisha uzi.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Feb 15, 2022 #102 Phillipo Bukililo said: Hamna jeuri ya kumkataa mtu ndani ya mipaka ya Tanzania. Mtaishia kupiga kelele humu JF na kujifariji kwa kuanzisha uzi. Click to expand... Tutawang'oa taratibu wewe tulia moto uwake
Phillipo Bukililo said: Hamna jeuri ya kumkataa mtu ndani ya mipaka ya Tanzania. Mtaishia kupiga kelele humu JF na kujifariji kwa kuanzisha uzi. Click to expand... Tutawang'oa taratibu wewe tulia moto uwake
P Phillipo Bukililo JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 18,487 Reaction score 13,611 Feb 15, 2022 #103 Babati said: Tutawang'oa taratibu wewe tulia moto uwake Click to expand... Jeuri hiyo haipo mkuu, mwisho wake ni humu humu kwenye maongezi na maandishi ya JF. Dada Mange alihamasisha maandamano kipindi cha JPM, aliwapata watu wangapi?.
Babati said: Tutawang'oa taratibu wewe tulia moto uwake Click to expand... Jeuri hiyo haipo mkuu, mwisho wake ni humu humu kwenye maongezi na maandishi ya JF. Dada Mange alihamasisha maandamano kipindi cha JPM, aliwapata watu wangapi?.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 4, 2025 #104 THE FIRST BORN said: Hii Nchi linaibuka hili linaisha linakuja jingine Mama walaa yupo zake Ankwea Mapipa tu Click to expand... Wameshazoea
THE FIRST BORN said: Hii Nchi linaibuka hili linaisha linakuja jingine Mama walaa yupo zake Ankwea Mapipa tu Click to expand... Wameshazoea